Header Ads Widget

JAMES MBATIA AFUNGUA KESI KUPINGA KUJIUZULU KWA JOB NDUGAI


Mwenyekiti wa chama cha Upinzania cha NCCR Mageuzi James Mbatia amefungua kesi ya kupinga mchakato wa kujiuzulu kwa aliyekuwa spika wa bunge la Tanzania na uteuzi wa mgombea wa uspika wa bunge.

Hayo yanajiri wakati tayari kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM ikiwa imemtangaza Dokta Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika, na chama cha ADC kikimtaja Maimuna Said kuwa mgombea wake, baada ya kiti cha spika kuachwa wazi na Job Ndugai aliyejiuzulu Januari sita mwaka huu.

Martha Saranga amezungumza na James Mbatia na kumuuliza ni zipi sababu za uamuzi wake?

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI