Header Ads Widget

RAIS SAMIA APONGEZA TEMBO WARRIORS KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2022

Rais wa  Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Timu ya Taifa ya Walemavu ya Mpira wa Miguu (Tembo Warriors) kwa kufuzu Kombe la Dunia nchini Uturuki Oktoba, 2022.

Rais Samia ametoa pongezi hizo kupitia ukurasa wake wa Twitter Leo .

"Naipongeza Timu ya Taifa ya Walemavu ya Mpira wa Miguu (Tembo Warriors) kwa kufuzu Kombe la Dunia nchini Uturuki Oktoba, 2022. Nawapongeza viongozi wa Wizara na TFF na nawataka mfanye maandalizi mazuri zaidi kuelekea michuano hiyo ili tuwe na timu bora itakayotutangaza vyema"

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



BBC NEWS