Kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi, amesema kwamba tukio la kumfyatulia mwenzake risasi lilitokea wakati wote wawili wakiwa kwenye lindo la benki ya CRDB tawi la Ruangwa mkoani humo.
"Taarifa za awali zinaonesha kwamba marehemu alimuazima pikipiki askari mtuhumiwa, sasa alipochelewa kumrudishia kwenye ule muda waliokubaliana ugomvi kati yao uliendelea ukawafikisha hapo walipofikia,"amesema Kamanda Kitinkwi.
0 Comments