Header Ads Widget

WIZARA INA SUBIRI RIPOTI YA MAKONDA -WAZIRI WA HABARI

 


Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji, amesema wizara inasubiri ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza tukio la aliyewahi kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, kuvamia kituo cha utangazaji cha Clouds mwezi Machi 2017

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI