Header Ads Widget

WATALII 62 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Kundi la Watalii 62 kutoka nchi za Urusi, Ubelgiji, Ukraine, Uswisi, Poland na Ujerumani leo asubuhi wametembelea Hifadhi ya Taifa ya Mikumi kwa ajili ya kuvishuhudia vivutio vya utalii vilivyopopo ndani ya Hifadhi hiyo. Haya ni matokeo ya juhudi mbalimbali za utangazaji zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta Binafsi.

Watalii wengi wanaendelea kuonesha kuwa na imani na Tanzania kwa hatua stahiki zinazochukuliwa dhidi ya mapambano ya UVIKO 19. Bodi yaUtalii inaendelea kuwahimiza wadau wote wanaihudumia watalii kuendelea kuzingatia taratibu za kujikinga na maambukizi ya UVIKO 19 ili kuwavutia watalii wengi zaidi.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI