Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha, baada ya kumaliza kufanya ukaguzi wa zoezi la usalimishaji silaha haramu kwa hiari, leo Nov 15, 2021.
Amewataka Makamanda wa Polisi Nchini kuendelea kuwahamasisha wananchi kusalimisha silaha kwa hiari





0 Comments