Header Ads Widget

TIMU ZA BUNGE ZA KUVUTA KAMBA ZACHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA TIMU ZA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA

 

Timu ya Bunge ya kuvuta kamba ya wanaume wakicheza mchezo wa kirafiki na timu ya kuvuta kamba ya wanaume ya mamlaka ya bandari Tanzania, TPA (haipo kwenye picha) katika viwanja vya St. John Merlin Sekondari Jijini Dodoma, Novemba 29, 2021. Ikiwa ni maandalizi ya michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza Disemba 4, 2021 mpaka Disemba 18, 2021


Timu ya Bunge ya kuvuta kamba ya wanawake wakicheza mchezo wa kirafiki na timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya mamlaka ya bandari Tanzania, TPA (haipo kwenye picha) katika viwanja vya St. John Merlin Sekondari

Timu ya wanaume ya mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) wakicheza mchezo wa kirafiki na timu ya kuvuta kamba ya wanaume ya Bunge (haipo kwenye picha)


Timu ya wanawake ya mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) wakicheza mchezo wa kirafiki na timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya Bunge (haipo kwenye picha)


Timu za Bunge ya kuvuta kamba ya wanaume na wanawake wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya kuvuta kamba za wanaume na wanawake za mamlaka ya bandari Tanzania (TPA) katika viwanja vya St. John Merlin Sekondari Jijini Dodoma, Novemba 29, 202. Baada ya wakucheza mchezo wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI