Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake sita Hadi kesho Nov 16 mwaka 2021 ni baada ya washtakiwa hao kushindwa kufika mahakamani Leo
NA MATUKIO DAIMA APP. DODOMA.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Sulu…
0 Comments