Header Ads Widget

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA COP 26

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland leo tarehe 02 Novemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye jukwaa mara baada ya kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula pamoja na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo mara baada kuhutubia katika Mkutano wa 26 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi COP26 unaoendelea katika Mji wa Glasgow, Scotland

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI