Header Ads Widget

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSIN ALI MWINYI AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Nungwi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa  Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resots Nungwi. Ikiwa ni shamrashamra za mwaka mmoja wa Uongozi wake



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts Nungwi (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mudrik Soraga na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Raul Gantes.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels & Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja (kushoto ) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Bw.Raul Gantes wakiondoa kiupazia, hafla hiyo imefanyika katika eneo la ujenzi huo Nungwi.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya Riu Hotels &Resorts Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mmikili wa Mradi wa Hoteli ya Kitaii ya Riu Hotels &Resorts Bw. Raul Gantes akitowa maelezo ya michoro ya picha ya ujenzi wa hoteli hiyo wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo ikiwa ni Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Uongozi wake.(Picha na Ikulu

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI