Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Awena Sinani Masoud aliyekua mke wa Hayati Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kufungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume walipokutana kwenye ufunguzi wa Kongamano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Dodoma alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar kwenye ufunguzi wa Kongamano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea Zanzibar
0 Comments