Header Ads Widget

PICHA - MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA RAIS WA ARMENIA NA MUAZILISHI WA BLOOMBERG ECONOMY

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na muanzilishi na muaandaaji wa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg  Micheal Bloomberg linalofanyika Nchini Singapore walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano huo. Novemba 17,2021

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Rais wa Armenia Armen Sarkissian walipokutana kabla ya kuanza kwa Jukwaa la Nne Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg 
Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu na Mbia Mwanzilishi wa Master Card wakati walipokutana muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Jukwaa la Nne la Majadiliano ya Kiuchumi la Bloomberg 





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI