Serikali ya Marekani imetangaza kuzuia kuingia nchini humo wasafiri kutoka nchi nane Kuanzia Nov 29 mwaka huu kutokana na kuibuka Kwa kirusi kipya cha Corona kwenye nchi hizo .
Nchi zilizozuiwa ni Afrika ya kusini ,Botswana ,Zimbabwe,Namibia ,Losotho,Eswatini,Malawi na Msumbiji





0 Comments