Header Ads Widget

MIL. 7 ZAHITAJIKA KWA AJILI YA MATIBABU YA WATOTO 22 WENYE ULEMAVU



Shilingi milioni saba na laki sita zinahitajika kwa ajili ya matibabu ya watoto 22 wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo wenye usonji baada ya kufanyiwa uchunguzi wa kitabibu na madaktari wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya.

Mwenyekiti wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Foundation Julitha Lukamata alisema watoto hao ni kutoka Kata ya Iyela pekee mkoani hapa.

Kwa upande wake Katibu wa Taasisi hiyo Stella Kita alisema watoto wengi wenye ulemavu wamekuwa wakifungiwa ndani kutokana na wazazi kushindwa gharama za mazoezi au matibabu.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI