Mahakama kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imekataa kupokea kielelezo cha kitabu cha kumbukumbu za mahabusu wa kituo cha polisi Dar es salaam kufuatia pingamizi la upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe
0 Comments