Header Ads Widget

KABURI LA BINTI WA FARAO LAPATIKANA


NEVINE EL-AREF / EGYPTIAN MINISTRY OF ANTIQUITIES

Kaburi lililopatikana nchini Misri linasemekana kuwa lilimzika binti wa Farao, miaka 3,700 hivi iliyopita, na inaaminika kwamba mabaki hayo yalikuwa ya binti ya Farao.

Mabaki hayo yalipatikana katika piramidi za Misri..

Wizara ya masuala ya kale nchini Misri imesema mabaki hayo yalikuwa katika piramidi za kale za Dahshur , walikuta sanduku la mbao lenye maandishi mbalimbali.

Ndani ya sanduku hilo kulikuwa na chombo kidogo kilichojaa nyama za binadamu, ikiaminika kuwa ni mwili wa mwanamke anayedhaniwa kuwa ni binti wa mfalme mmoja wa farao wa Misri, Emnikamaw.

Mtaalamu mmoja wa historia walipata tovuti ambayo iliandika maana ya jina hilo la Emnikamaw.:CHANZO BBC

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI