Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi na mbunge wa jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Mheshimiwa Abdallah Ulega akikagua timu za Kata ya Vikindu na timu ya kata ya Njia nne zote za wilayani humo ikiwa leo ni fainali ya Ulega Cup. (Na Scolastica Msewa)
MWENYEKITI wa Kamati ya Itifaki ya Maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) Kitai…
0 Comments