Header Ads Widget

DKT. TULIA ASHIRIKI MKUTANO WA 51 WA CHAMA CHA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KANDA YA AFRIKA

 

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiwasilisha mada kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19 wakati wa Mkutano wa 51 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika unaoendelea leo Abuja nchini Nigeria.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (wapili kulia mbele) akishiriki katika mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika baada ya athari ya Covid 19

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akifuatilia kwa makini mazungumzo kuhusu nafasi ya Bunge kuchochea uwekezaji katika sekta ya Afya Barani Afrika 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI