RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha Josephat Elias Mwingia, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Kanisa la Efatha, ukiongozwa Kiongozi Mkuu wa kanisa hilo Josephat Elias Mwingia (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Efatha. Josephat Elias Mwingia, baada ya kumaliza mazungumzo yao
0 Comments