Picha hii ya mtandaoni haihusiani na tukio la moto Leo
Moto mkubwa ambao chanzo chake bado kufahamika unateketeza Soko la Manzese katika mji wa Tunduma mkoani Songwe .
Moto huo umeanza majira ya saa 12 asubuhi na hadi kufikia saa mbili asubuhi ya leo (Nov.16.2021)
Jeshi la zimamoto na uokozi mkoani humo lilikuwa bado linaendelea na uzimaji moto huo ili kutosababisha madhira zaidi.
Chanzo.Kidaruso blog
0 Comments