Balozi wa Marekani nchini akiosha gari la Mkuu we Mkoa Wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel, alipotembelea mradi wa kuosha magari wa Millagro uliopo Nyasaka Ilemela mradi huo unalenga kuwainua kiuchumi vijana na wasichana walionusurika kutoka kwenye mazingira hatarishi.
0 Comments