| Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti Mheshimiwa Daniel Baran Sillo akipokea maelezo ya ukaribisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jones Killimbe mara baada ya Ujumbe wa Kamati hiyo kuzuru TCRA kukagua masuala mbalimbali ya Mawasiliano ikiwemo usimamizi wa Mfumo wa Usimamizi wa Mawasiliano ya Simu (TTMS-Telecommunications Traffic Monitoring System). Kamati hiyo ilipokelewa Oktoba 12, 2021 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji, watendaji wa Wizara na Menejimenti ya TCRA ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. Jabiri Bakari. Picha na (TCRA) |
0 Comments