Na Mwandishi Wetu
Baadhi ya wateja wa Tigo Wameendelea kuisifia Huduma ya mfumo wa Kidigitali wa Huduma za Kifedha kupitia simu za Mkononi ambao unawawezesha wateja kuweka akiba ya kiwango fulani cha fedha za kielektroniki (e- money) na kujipatia riba kulingana na Kiwango cha fedha kilichohifadhiwa maarufu kama "TIGO PESA KIBUBU".
Wakizungumza kwa Nyakati tofauti tofauti Bwana Hamis Omary ( Dereva Bodaboda) na Ally Juma Omary ( muuza mitumba) wameelezea ni kwa namna gani huduma hii ya Tigo Pesa Kibubu inaenda kubadilisha maisha yao.
Tukianza na Bwana Hamis Omary Dereva Bodaboda ameelezea ni kwa namna gani huduma hii ya Tigo Pesa Kibubu inaenda kumtimizia ndoto yake ya kununua pikipiki mpya
"Pikipiki nayoiendesha sasa hivi ni ya mkataba ndoto yangu kubwa ni kumiliki pikipiki yangu mwenyewe hapo mwanzo nlikua nkiweka akiba ya kuifikia ndoto zangu kwa njia zisizo rasmi kama vile kuweka kwenye vibubu vya kienyeji au kuficha chini ya godoro suala ambalo limenikwamisha kwa mda maaana mda mwingine pesa zimekua zikipungua bila kuelewa zinaenda wapi au mda mwingine mekua nkishawishika kuzitumia, lakini Ujio wa TIGO PESA KIBUBU naona unaenda kunitimizia ndoto zangu , naifurahia Tigo Pesa Kibubu maana naweka akiba yangu kirahisi tena Kidigital". Alimalizia Bwana Hamisi
Kwa upande wake Bwana Ally Juma Omary mfanyabiashara wa Mitumba ambaye pia ni mpangaji ameeleza kwa namna ambavyo Tigo Pesa Kibubu itampunguzia kero na mwenye nyumba maana kwa sasa atakua akiweka akiba kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa Kibubu itakayomwezesha kulipa pesa ya Pango kwa wakati.
Kumbuka akaunti ya Tigo Pesa Kibubu itakuwa tofauti na akaunti yako kuu ya Tigo Pesa.
Ni rahisi sana kuweka akiba kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa Kibubu, Piga *150*01#
Chagua Huduma za kifedha (7)
Chagua Akiba (8)
Chagua TigoPesa Kibubu (1)
Chagua weka akiba(1) na kisha weka kiasi na namba ya siri ya TigoPesa yako.
Kwa wateja wanaotumia Tigo Pesa App, wanachotakiwa kufanya ni
Fungua Huduma za Kifedha
Chagua Akiba
Chagua Kibubu
Chagua kuweka akiba na kisha weka kiasi na namba yako ya siri.
Huduma hii ni kwa kila mtumiaji wa Tigo Pesa, kuhamisha fedha kutoka Akaunti Kuu ya TigoPesa kwenda kwa Akaunti ya Kibubu ni BURE.
1 Comments
PESA/UTAJIRI WA NDAGU AU MAJINI KWA MUDA MFUPI
ReplyDeleteMPAKA MASAA 48(SIKU 2) PAPO HAPO ULIPO KUPITIA KALAMA KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
HIZI NI DAWA NA MUDA WA UKAMILIFU WAKE NA KUKUKABIDHI
MAJINI ZIPO AINA 3
1. GHUUL(chma ulete)....Siku 5
2.SAIFRAHAN(Jini wa kufuga)...Siku 6 n.k
3.SAIFRAHA(jini wa bahati)....masaa 24
NDAGU ZIPO AINA 6
1.MTU.....week 1 na nusu
2.MIMBA....siku 5
3.UTASA....masaa 72(siku tatu)
4.ULEMAVU....siku tano
5.NDUGU WATATU...siku sita
6.WANYAMA.....masaa 48
KARIBU UPATE UFAFANUZI UCHAGUE UIPENDAYO KILA MOJA NA MASHARTI YAKE.
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
HACHA KUTANGATANGA PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI
NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI NA KUTUNZA SIRI......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
@highlight @highlight Following TAWALA ZA MAJINI NA TIBA ZAKE NA NJISI YA KUWA TUMIA KENYANS LIVING IN USA 🇺🇲🇬🇧 KENYA BUSINESS NETWORK @highlight Watowaji Pesa Za Majini Everyone Products Your Friend.
PIGA SIMU/Whatsup +255 742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA SIMU KUEPUKA MATAPELI