Shamba la chai Mkonge Mufindi mkoani Iringa
Mkulima wa Chai Kijiji cha Mkonge kata ya Luhunga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Keneth Msina akichuma chai Leo Kwa kutumia Mashine maalum aliyoitengeneza Kwa kutumia mkasi na kopo la plastiki kama sahani ya kuhifadhia chai kupitia kifaa hicho anaweza kuchuma chai Hadi kilo 200 Kwa siku na bila Mashine hiyo huishia kilo 50 ama 100 Picha na Francis Godwin
0 Comments