Header Ads Widget

TANZIA:MTENDAJI HUYU AFARIKI DUNIA

Kwa niaba ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo nachukua nafasi hii kuwasilisha kuwa anasikitika kutangaza kifo cha Mtendaji wa Mtaa wa Msumi Ndugu Kelvin Costa Mowo aliyevamiwa ofisini kwake baada ya kupigwa panga polisi wanaendelea na uchunguzi


Mkurugenzi anawapa pole kwa msiba huu mzito na tufanye subira pindi taratibu za kiusalama zinafanyika.


Asante

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI