Taarifa iliyotufikia inaeleza kuwa Rubani wa ndege ya jumuiya ya hifadhi ya wanyamapori Nalika inayo mirikiwa na shirika la uhifadhi la PAMS FOUNDATION CAPTAIN SAMWEL BALINA GIBUYI ambaye alirusha ndege 5 H - jumatatu tarehe 18/10/2021 majira ya saa 09:09 alasiri kuelekea hifadhi ya pori la akiba la SELOUS KINGUPIRA Wilaya ya Rufiji mkani pwani kwa bahati mbaya hakufika na hajarudi na haieleweki yupo wapi .
0 Comments