Mama afumania mtoto wake wa miaka saba akibakwa na mfanyakazi wake, Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara ACP Maresone Mwakyoma amethibitisha tukio hilo.
Hili ni tukio la kikatili ambalo pia ni funzo Kwa wazazi kuacha kuwaamini wafanyakazi wa ndani wasio wajua vizuri .
0 Comments