Pichani ni baadhi ya vijana wa CCM wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani wakipita Jaribu mpakani Wilaya Kibiti katika matembezi ya hiari ya kuunga mkono maadhimisho ya wiki ya UWT kumuenzi Muasisi wa UWT Bibi Titi Mohamed kitaifa yanayofanyika Wilayani Rufiji mkoani Pwani ambapo wanatembea kwa miguu kutoka Dar es salaam hadi Rufiji. (Scolastica Msewa)





0 Comments