Mapokezi ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mama Gaudencia Kabaka na uongozi wa UWT taifa makao makuu ya Wilaya ya Rufiji Utete asubuhi hii kwaajili ya sherehe za maadhimisho ya wiki ya UWT taifa yanayofanyika Wilayani Rufiji mkoani Pwani ikiwa ni Katika kumuenzi Muasisi na mwenyekiti wa kwanza wa UWT taifa Bibi Titi Mohamed ambapo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi.





0 Comments