Na Mwandishi Wetu.
Ikiwa ni Wiki ya Huduma kwa Wateja mtandao namba moja unaoongoza kwa utoaji wa Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo, haukubaki nyuma katika kuhakikisha unatoa kilicho bora kwa wateja wake. Kama zinavyoelezea habari Picha hapa Chini .








Viongozi wa Vitengo mbalimbali Tigo , wajibu na kutatua maswali ya Wateja wa Tigo katika Kituo cha Kisasa cha Huduma kwa Wateja

Innocent Rwetabura Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo akijibu na kutatua maswali ya Wateja wa Tigo katika kituo cha kisasa cha huduma kwa wateja.





0 Comments