Header Ads Widget

DED AHAMASISHA MIKOPO KUWEKEZA KWENYE UKAMUAJI WA MAFUTA YA CHIKICHI

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya kasulu Joseph kashushura ametoa wito kwa wanawake, vijana na walemavu kuchangamkia fursa ya mikopo ili waweze kuwekeza kwenye ukamuaji wa mafuta ya mawese ambayo yanalimwa kwa wingi mkoani humo.


Akizungumza ofisini kwake alipotembelewa na wataalamu wa kutoka Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (tari) alisema kuwa wananchi wengi hawajitokezi kukokopa.


Mpaka sasa tunayo mikopo ya vijana wanawake na walemavu ambayo ni asilimia 10 tuko tayari kutoa mikopo kwa wakulima wa zao la mchikichi na wawekezaji ili kuweza kukamulia mafuta


“Mchikichi tunausimamia na kuupigania ili kuweza kuchangia ili kuondokana na tatizo la uhaba wa mafuta”


“Sisi tunapanga kupanda miche zaidi ya laki 115 ambapo mpaka sasa tumeshapanda miche elf 93 katika vitaru tofatu kata 13 pia unalo shamba letu lenye hekali 1000 kati ya hekali 13 ambazo zinatumika katika mazao mbalimbali ambapo sasa tunayomiche 93.5 ambapo ndani ya mwaka mpya wa fedha tunatarajia miche elf 50 itapandwa mashambani 650 wanalima na tumewagawia miche tayari na pia tumetenga zaidi ya Million 73 kwaajili ya kufanikisha jambo hilo” alisema Kashushura


MWISHO

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI