Klabu ya Arsenal ikiwa ugenini kwenye uwanja wa King Power imefanikiwa kubeba alama tatu na kufanya sasa kufikisha alama 17 nafasi ya tano katika msimamo wa EPL.
Huu sasa ni ushindi wa tatu mfululizo wanapata Arsenal dhidi ya Leicester City katika uwanja huo King Power
0 Comments