Header Ads Widget

DKT. KIMAMBO AKUTANA NA WASIMAMIZI WA WODI MUHIMBILI, ASISITIZA UBORA WA HUDUMA

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amekutana na kufanya mazungumzo na wasimamizi wa wodi mbalimbali za hospitali hiyo, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano, mawasiliano na usimamizi wa karibu katika kuhakikisha huduma kwa wagonjwa zinatolewa kwa ubora, usalama na kwa wakati.

Akizungumza katika kikao hicho Dkt. Kimambo amewataka wasimamizi hao kusimamia kwa karibu mahitaji ya wagonjwa na kuhakikisha huduma zinazotolewa zinaendelea kuwa bora na zenye kuzingatia utu na usalama wa mgonjwa.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo







Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI