Header Ads Widget

CG MWENDA APOKEA MAKOMBE MA-5 YA SHIMMUTA


Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amepokea makombe matano kutoka kwa timu za michezo mbalimbali za TRA zilizoshiriki na kushinda mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi za Serikali na Mashirika Binafsi (SHIMMUTA) yaliyohitimishwa Desemba 06.2025.


Akipokea makombe hayo jijini Dar es Salaam katika ofisi za TRA leo tarehe 11.12.2025 Kamishna Mkuu amezipongeza Timu za michezo za TRA zilizoshinda na kuwataka kutumia michezo kuhamasisha ulipaji kodi kwa hiari. 


Kamishna Mkuu Mwenda amesema hivi karibuni Bodi ya Wakurugenzi ya TRA imepitisha sera ya michezo ndani ya TRA ambayo itasimamia michezo na kuongeza hamasa ya kulipa

kodi kwa hiari kupitia michezo.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI