Baadhi ya wananchi jijini Dar es salaam, wameeleza kuwa kitendo cha kuharibiwa kwa miundombinu ya Serikali na uvunjwaji wa biashara za watu ni kuanzia Siku ya Kupiga Kura ni vitendo vya kihalifu vilivyofanywa na watu wenye nia ovu ambapo wameeleza hatua ya uharibifu umewafanya baadhi ya wajasiriamali kurudi nyuma kiuchumi.







0 Comments