Header Ads Widget

MAMA AMUUA MWANAWE KWA TUHUMA YA WIZI WA NDIZI



NA,MATUKIO Daima MEDIA  , KENYA

MSICHANA wa miaka tisa mkazi wa kijiji cha Taboi-no, Konoin nchini Kenya, anadaiwa kuuawa baada ya kupokea kipigo kutoka kwa mama yake, huku sababu ikitajwa kuwa ni kutokana na tuhuma za wizi wa matunda.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya ndani, wakazi walionesha kuhuzunishwa na mkasa huo wa kuhuzunisha ulio washangaza wengi katika jamii yao.

Taarifa zilieleza kuwa mtoto huyo alifariki, huku kaka yake wa miaka 13 aki jeruhiwa vibaya na kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Longisa County Referral.

Kwa mujibu wa taarifa ya Citizen, tukio hilo lilitokea baada ya watoto hao kudaiwa kuingia kwenye bustani ya jirani na kuiba ndizi.

Ripoti ya polisi il isema, mshukiwa, Joan Rono, 34, alid aiwa kutumia fimbo kuwa va mbao piga watoto hao, na kwamba watoto wote waliumia vibaya na kupelekwa haraka hospitalini kwa matibabu.

"Msichana huyo alifariki kutokana na majeraha yake muda mfupi baada ya kupelekwa hospitalini, na maofisa wa matibabu walibaini uvimbe unaoone-kana usoni na damu ikitoka

George Mag-guh alisema "Tusiwe na hitimisho la haraka. Mun-gu atutunze nasi tuwe na vya kutosha kuwalisha watoto wetu jamani."

Aidha, ilielezwa mama kwamba huyo, ambaye ali-kuwa amewapele ka watoto hao hospitalini, alitiwa mbaroni katika kituo cha matib-abu. ikielezwa kuwa tukio hilo liliibua huzuni na hasira kubwa nchini humo, huku Wakenya wengi wakieleza mshtuko na kudai hakiitendeke.

 Sehemu ya Wakenya wali-ibua mjadala kuhusu ulinzi wa watoto na uhitaji wa ku-

kinywani, na kaka yake alijeruhiwa aliumia sehemu nyingi za mwili." ilisema taarifa ya polisi.

tumia mbinu zisizo za vuru-gu katika kuwafunza adabu njema.

Miongoni mwa Wak-enya walioelezea hisia zao kuhusu tukio hilo akiwemo Bomet Samuel, alisema "Ad-habu kwa watoto wetu iwe ya marekebisho na itolewe kwa upendo."

George Magguh alisema "Tusiwe na hitimisho la haraka. Mungu atutunze nasi tuwe na vya kutosha kuwalisha watoto wetu jam-ani."

Vilevile, Lovel Masara al-ionesha masikitiko akisema: "Hii inasikitisha sana. Haku-na mtoto anayestahili vuru-gu kama hii. Haki itendeke na jamii ziwe pamoja kulin-da na kulea watoto wao."

Chanzo:KTN

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI