Header Ads Widget

ESTHER MIDIMU AAPISHWA BUNGENI.

 

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia CCM Mkoa wa Simiyu, Esther Midimu akila kiapo cha Ubunge.


Na Costantine Mathias, Matukio Daima.


MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Mkoa wa Simiyu, Esther Midimu amekula kiapo kuwatumikia wananchi kwa kipindi cha miaka mitano (2025/2030).

Hili ni Bunge la 13, Mkutano wa kwanza na kikao cha pili, Wabunge wamekula viapo vya Uaminifu na uzalendo kwa Taifa la Tanzania.





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI