Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada Maalum ya Kilele cha Jubilei ya Miaka 50 ya Kuzaliwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Pare, Same mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa wakizindua mnara wa kumbukumbu ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kuzaliwa kwa Dayosisi ya Pare wakati wa Ibada Maalum ya Jubilei hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Dayosisi ya Pare, Same mkoani Kilimanjaro leo tarehe 19 Oktoba 2025.
0 Comments