Shangwe na hamasa zimetawala Viwanja vya Mnazi Mmoja huku viongozi, wanachama na wananchi wakifurika kwa wingi kushuhudia uzinduzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kumsikiliza mgombea wao wa Urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akieleza dira na mwelekeo wa maendeleo ya Taifa.
0 Comments