Header Ads Widget

TRA KAGERA YAFUNGUA RASMI DAWATI MAALUM KWA WAFANYA BIASHARA.

 

Na Shemsa Mussa -Matukio Daima

                  Kagera.

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA yafanya Uzinduzi Wa dawati maalum la uwezeshaji biashara Kwa Wafanya biashara Kagera.

Akizungumza wakati Wa zoezi Hilo Mkuu Wa Mkoa Kagera Mhe Hajjat Fatma Mwassa amesema ni vema Mamlaka hiyo kuanzisha club mashuleni ili kuhamasisha uelewa zaidi juu ya ulipaji Kodi.

Nea Meneja TRA Mkoani humo Bw Castro john amesema dawati Hilo litawawezesha Wafanya biashara wote njia nzuri ya namna ya kufanya biashara bila usumbufu .

Bi Husna Hussein,Moja ya wafanya biashara  wameshukuru uwepo Wa dawati Hilo na kusema kuwa litawasaidia kutatua kero zao.

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI