
Mkuu wa mkoa wa Iringa Kheri James akimpa pole Vicky ambae ni mjane wa aliyeliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Iringa mjini Marehemu Frank John Nyalusi .
Mkuu huyo wa mkoa amefika nyumbani kwa Nyalusi leo mchana baada ya kuwasili mkoani Iringa, amesema ameumizwa na kifo cha Nyalusi kwani alikuwa ni kiongozi mwenye mchango mkubwa ndani ya mkoa wa Iringa.
Kuwa Nyalusi ameondoka Ila bado kuna haja ya wengine kuiga mazuri ya Nyalusi hasa katika kuhamasisha Maendeleo ya mkoa.
Alisema uzuri wa mtu ama pengo lake huanza kuonekana pale anapoondoka ndivyo ilivyo kwa Nyalusi.
Hivyo ametaka ushirikiano uliponeshwa wakati wa Nyalusi akiumwa na pale alipofariki dunia unapaswa kuendelezwa kwa familia yake kwa meana ya kutazama mke na watoto.
TAZAMA FULL VIDEO YA SALAMU ZA RC KHERI JAMES BOFYA LINK HII
mkuu wa mkoa wa Iringa Kheri James akitoa bahasha ya rambi rambi.
mkuu wa mkoa wa Iringa Kheri James akitoa bahasha ya rambi rambi.
0 Comments