MMOJA wa Wajumbe wa CCM akipiga kura.
Na COSTANTINE MATHIAS, Itilima.
WAJUMBE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Lagangabilili wilayani Itilima Mkoani Simiyu, leo August 4, 2025, wamepiga kura za maoni kwa ajili ya kuchagua Wagombea wa nafasi za Ubunge na Udiwani ambao watapeperusha bendera ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Uchaguzi huo wa CCM unafanyika leo kila kata nchini ili kutimiza takwa la katiba ya CCM na kwamba zoezi hilo linaendelea kwa hali ya amani na Utulivu.
Mwisho.
0 Comments