Header Ads Widget

MOROCCO YAENDELEZA UBABE CHAN

Na mwandishi wetu

Timu ya taifa ya Morocco imeendeleza ubabe katika michuano ya CHAN baada yakushinda mchezo wa nusu fainal uliopigwa katika uwanja wa Mandela nchini Uganda dhidi ya Timu ya taifa ya Senegali

Katika mchezo huo uliochezwa majira ya saa mbili usiku ,mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 nakufanya kwenda kwenye changamoto za mikwaju ya penalty ambapo Morocco alipata ushindi wa 5-3,na kwa matokeo hayo Morocco amefanikiwa kutinga hatua ya fainal ambapo atakutana na Senegali.

Hata hivyo Morocco kabla ya ushindi huo dhidi ya senegali ilikuwa katika kundi A lililokuwa na timu kama ,Kenya ,congo ,Zambia na Morocco na katika kundi hilo Morocco alitoka nafasi ya pili akiwa na alama 7.

Hivyo Morocco alikutana na Tanzania ambapo Morocco ilishinda 1=0, hali iliyomfanya Morocco kwenda katika  hatua inayofuata ya nusu fainal.

Baada kumaliza nusu fainal Morocco katinga  katika  hatua ya Fainal ambapo atacheza na Madagascar katika hatua hiyo.


Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI