Header Ads Widget

MGOMBEA WA URAIS ZANZIBAR CHAMA CHA AFP AMEWASILI OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Alliance for Farmers Party (AFP), Mhe. Said Soud, amewasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Katika mkakati wake wa kisiasa, Mhe. Soud ameweka bayana sera kuu ikiwemo kuruhusu zao la bangi kuwa zao la biashara, kupiga marufuku vitanda vya ukubwa wa sita kwa sita pamoja na kudhibiti unywaji wa pombe kupitia mfumo wa leseni maalum.
 

Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI