Jimbo la Morogoro Mjini limeendelea kuwa ngome ya kisiasa kwa Dkt. Abdulaziz Abood baada ya kushinda kwa kura 4,511 katika kura za maoni za CCM zilizofanyika jana.
Dkt. Yahya Ally Simba alipata kura 1,886, huku wagombea wengine wakipata kura chache zaidi zikiwemo 131 za Kadikilo na 60 za Bupe Kamugisha.
Jumla ya kura zilizopigwa ni 6,485 na kura zilizoharibika ni 84.
0 Comments