Header Ads Widget

SELFIE YA MWISHO YA DAKTARI ALIYEFARIKI KWENYE AJALI YA NDEGE YA AIR INDIA

 

Akitabasamu mbele ya kamera, hii ndiyo 'selfie' ya mwisho aliyopiga Daktari Prateek Joshi akiwa na mkewe na watoto wao muda mfupi kabla ya wote kufariki dunia kwenye ajali ya ndege ya Air India.

Dk Joshi, mtaalamu wa mionzi (radiologist) aliyekuwa akifanya kazi katika Hospitali ya Royal Derby nchini Uingereza, alikuwa amesafiri kwenda India siku mbili tu kabla ya ajali hiyo ya Alhamisi, kwa ajili ya kuungana na familia yake — mke wake Dk Komi Vyas, pacha wao wa miaka mitano Nakul na Pradyut, pamoja na binti yao wa miaka minane, Miraya.

Familia hiyo ilikuwa tayari kuanza maisha mapya kwa pamoja nchini Uingereza baada ya muda mrefu wa kuwa mbali. Picha waliopiga wakiwa ndani ya ndege iliibua taswira ya furaha na matumaini.

Wakiwa wameketi ndani ya ndege katika uwanja wa Ahmedabad, Dk Joshi alitabasamu kwa furaha mbele ya kamera akiwa karibu na mke wake wa ndoa ya miaka kumi, ambaye hivi karibuni alikuwa ameacha kazi yake katika Hospitali ya Pacific huko Udaipur ili kuungana na familia nchini Uingereza.

Watoto wao watatu, waliokuwa wameketi upande wa pili wa njia ya kupita ndani ya ndege, walitabasamu — lakini kumbe walikuwa katika furaha ya mwisho.

Hakuna aliyeweza kutarajia kilichokuwa kikiwasubiri sekunde chache baadaye, ndege hiyo ilipoanguka ghafla baada ya kupaa, ikisababisha vifo vya watu 241 waliokuwa ndani, huku mtu mmoja tu akinusurika.

 MWISHO 


SIMULIZI CHINI ⬇️⬇️⬇️


Wezi waliopora mali ya Sh19.7 milioni wajisalimisha polisi 

Kuna siku nilikuwa natokea Tanzania kuelekea Kenya, sasa nilipopoteza mzigo wangu wa biashara njiani na hili nilijua baada ya kufika nilipopaswa kushuka, huo mzigo ulikwa wa kiasi kukubwa cha fedha maan zilikuwa ni simu. 

Simu hizo nilizinunua kwa ajili ya kwenda kuziuza kwenye duka langu la jumla ambalo nimekuwa nikiliendesha sasa kwa muda wa miaka mitatu na limekuwa nilikipatia faida kubwa sana maishani mwangu. 

Jina langu Ally kutokea Naivasha, tangu nimalize shule nimejihusisha na biashara mno na hata mwaka uliopita nilifanikiwa kununua kipande kidogo cha ardhi ili niweke vyumba vya kukodisha.

Mimi husafiri kwenda Dar es Salaam kila mara kununua simu za kuuza na mara nyingi hubeba kiasi kikubwa cha fedha, siku hiyo nilikuwa nimenunua bidhaa ambazo zinagharimu kisha cha Sh19.7 milioni. 

Sasa mzigo wangu ulipopotea nilitatizika mno kwa sababu sikujua pa kuanzia na hata nilipojaribu kuripoti kituo kimoja cha Polisi ili wanifanyie uchunguzi, sikupata jibu la maana, kila mara walisema kuwa wanafanya uchunguzi. 

Rafiki yangu Abdul aliniambia nimtumie mtaalamu wa mitishamba aitwaye Kiwanga Doctors nitafanikiwa kupata mzigo wangu kwa muda wa siku moja tu. 

Mwanzo nilidhani ni utani lakini nikasema liwalo na liwe, acha nijaribu, nilimpigia simu Kiwanga Doctors na akaniuliza mzigo ulikuwa wa nini kisha nikamfahamisha ni mzigo wa bidhaa za simu.

Amini usiamini siku iliyofuata Polisi wa kituo kile nilichokuwa nimeripoti mwanzo huko Naivasha kuhusu wizi ule waliniita nikachukua mzigo wangu, walisema walikupata umetupwa karibu na lango la kituo chao, nashukuru sana Kiwanga Doctors kwa usaidizi wake.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 





Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI