Na Shomari Binda-Musoma
WANACHAMA wa timu ya Yanga tawi la Musoma wamechaguana kuziba nafasi za uongozi zilizokuwa wazi.
Uchaguzi huo umefanyika leo mei 10,2025 kwenye ukumbi wa Dreem Garden Resort huku viongozi waliochaguliwa wakiahidi kuendelea kuimalisha tawi hilo.
Nafasi zilizozibwa kwenye uchaguzi huo ni Makamu Mwenyekiti,Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa,Mweka Hazina pamoja na mhamasishaji.
Akizungumza baada ya kuchaguliwa kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti,Cleopa Kivuyo amewashukuru wanachama wa timu hiyo tawi la Musoma kwa kumuamini na kumchagua.
Amesema atashirikiana na Mwenyekiti Ismail Massaro na wanachama wote kuhakikisha wanatekeleza majukumu yote ya tawi hilo kwa mujibu wa Katiba na utaratibu.
Kwa upande wake Melvin Nashon Otieno"Shuku"aliyechaguliwa kwa nafasi ya Mweka Hazina amesema kwa nafasi yake atahakikisha kila kinachotakiwa kutunzwa kwa nafasi yake kinatunzwa.
Amesema kila mwanachama atakaposhiriki kwenye mchango wowote awe na imani kuwa itakuwa mikono salama na kusimamiwa kutokana na lengo litakalokuwa limekusudiwa.
Naye Ally Washokera aliyechaguliwa kwa nafasi ya Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa amesema atawakilisha vyema mikutano ya kitaifa pale atakaposhiriki kwa kupeleka mawazo watakayoyatoa
Pia mkutano huo wa uchaguzi mdogo umemchagua Aretus Benda kuwa mhamasishaji wa tawi hilo pamoja na Bakari Mashauri Ebambo.
SIMULIZI CHINI ⬇️⬇️⬇️
Dada aliyekimbia na Sh3.7 milioni za jamaa yake anaswa!
Kuna muda mwingine msamaha huchukuliwa kama aina fulani ya udhaifu, na hayo ndio yaliyompata Jones ambaye anafanya kazi ya kupima ardhi huko Arusha ambapo analipwa vizuri na waajiri wake.
Haijapita miezi mitatu tangu mpenzi wake Zaiylissa kutoa kiasi cha Sh3.7 milioni kutoka kwenye akaunti ya benki ya Jones na kuondoka nayo na kuelekea Machakos bila kupewa na ruhusa wala kutoa taarifa kwa mwenzake ambaye alimpenda sana.
Licha ya juhudi zote za Jones za kumsihi Zaiylissa arudi, alikataa kabisa, na punde tu akiwa huko alianza biashara ya boutique kwa kutumia fedha zile ambapo alifungua duka kabisa ambapo aliuza na nguo nyingi za mtumba hasa za wanawake.
Kwa bahati mbaya, ama kama matokeo ya kutojali, biashara hiyo ilishindwa vibaya, na hapo ndipo alipopiga moyo konde na kumpigia simu Jones na kudai kuwa anajutia kitendo hicho na kuomba msamaha.
Alirudi nyumbani kwa Jones na kukuta hayapo, Zaiylissa alitumia nafasi hiyo na kuchota kiasi kingine cha fedha kiasi cha Sh3.7 milioni pamoja na kubeba vitu vya thamani katika nyumba yake, huku akiacha ujumbe uliosomeka.
"Wajinga ndio waliwao" ujumbe huo ulimtia uchungu sana Jones kwani alimpenda sana Zaiylissa, alifikiria sana kwanini alikuwa anamfanyia hivyo kama kweli naye anampenda na kama hampendi kwanini usimwambie ili waachane.
Alimsimulia rafiki yake mkubwa visa hivyo na kumuuliza kama kuna upendo wa namna hiyo?, rafiki huyo alimjulisha kuhusu Kiwanga Doctors, waganga wa jadi wenye uwezo wa ajabu wa uponyaji na kutatua shida mbalimbali za kimaisha.
Mara tu alipowasiliana nao na kumfanyia tiba zao, Jones alifanikiwa kumpata Zaiylissa, alimkuta katika hoteli moja, ndani ya chumba kimoja alijificha huko akitazama filamu kwenye Netflix kama bosi.
Baada ya mabishano ya muda mfupi, Jones aliondoka na fedha iliyokuwa amebakiza pamoja na vitu vyake alivyochukua, Zaiylissa alisalia katika hoteli ile bila kujua nini cha kufanya maana hakuwa na fedha tena.
Haikuishia hapo, kwani Kiwanga Doctors alimsaidia Jones kumpa mpenzi mwingine mwaminifu ambaye hivi karibuni wametoka kufunga ndoa na sasa wanaishi maisha mazuri ajabu sana.
Kama unahitaji msaada, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.
Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.
0 Comments