Header Ads Widget

SERIKALI YA KENYA YALAANI KITENDO CHA AIBU CHA KUMRUSHIA RAIS KIATU

 

Rais William Ruto amekuwa akihutubia umati wa watu katika ziara yake magharibi mwa Kenya

Serikali ya Kenya imeelezea tukio la kurushiwa kiatu kwa Rais William Ruto kama la “aibu” na lisilokubalika, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika Jumapili.

Video zilizosambaa katika mitandao ya kijamii zinaonyesha kiatu kikimgonga rais kwenye mkono wa kushoto alipokuwa ameuinua juu akizungumza.

Msemaji wa serikali, Isaac Mwaura, alilaani tukio hilo na kuitaka mamlaka husika kuwakamata waliohusika.

“Je, nini kingetokea kama sote tungeamua kurushiana viatu? Ni maadili gani tunayowafundisha watoto wetu?” alihoji kupitia chapisho lake katika mtandao wa X, akisisitiza umuhimu wa kuheshimu taasisi ya urais.

Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kuwa watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na tukio hilo, ingawa polisi bado hawajathibitisha rasmi. Wabunge kadhaa pia wamekosoa tukio hilo la kurusha kiatu, wakilitaja kama dosari kubwa ya kiusalama.

Dennis Itumbi, afisa waandamizi katika ofisi ya rais, alilitaja tukio hilo kama “tukio ambalo lisingeweza kudhibitika,” akidokeza kuwa huenda lilikuwa la bahati mbaya.

Kupitia Facebook, alichapisha video nyingine kutoka pembe tofauti, akisema ilimuonyesha mtu mmoja akiinua kiatu kwa utani, akidanganya kuwa ni kamera, na mtu mwingine akikipiga kwa hasira kwa kuwa kilikuwa kimezuia mtazamo wake.

“Kwa bahati mbaya, kilirushwa mbele… moja kwa moja hadi kwa rais,” alisema.

Rais Ruto alikuwa akihutubia umati katika hafla ya umma katika kaunti ya Migori, magharibi mwa Kenya, akiwa katika ziara ya siku tatu kuzindua na kufungua miradi ya maendeleo katika eneo hilo.


SIMULIZI CHINI 

👇👇👇👇

"Nilishtuka kumuona mume wangu na mchepuko katika taarifa ya habari" 

Jina langu Tina, ni mkazi wa Arusha mjini, kwa leo naomba ninaogelea katika mapenzi, furaha, na utajiri, shukrani za pekee ziende kwa uamuzi uliobadili maisha niliofanya mnamo miaka miwili iliyopita. 

Mume wangu alikuwa mtu mpango wa kando sana, kila kona alikuwa na mwanamke na kusababisha tabu katika ndoa yetu ambayo awali nilitarajia kuwa itafika mbali sana. 

Nikiwa nimedhamiria kuokoa ndoa yangu, niliwatembelea Kiwanga Doctors huko Migori, Kenya. Hawa ni kundi la waganga wa jadi ambalo hushughulikia matatizo mengi. 

Nililipa fedha kidogo kwa ajili kupata uchawi wa mapenzi, kisha nilipewa pete ya uchawi na kuondoka zangu. Pete haikuwa tu kipande cha chuma, bali kilikuwa ni chombo ambacho kilikuwa kinafuatilia uaminifu wa mume wangu katika ndoa yetu. 

Basi nilimshawishi mume wangu kuivaa pete hiyo bila kujua nguvu iliyokuwa nayo na mabadiliko ambayo ingeleta kwenye ndoa yetu ambayo niliipambania kwa hali na mali. 

Siku tatu baadaye, nilishtuka kumuona mume wangu kwenye taarifa ya habari akiripotiwa kunasiana na mchepuko wake wakati wakifanya yao ya siku zote. Hivyo pete ya uchawi ilikuwa imefanya kazi yake, ikifichua maovu yake hadharani na kwa njia ya aibu.

Nilikimbilia eneo la tukio, na kwa uwezo niliopewa na Kiwanga Doctors, niliwatenganisha wawili hao. Umati wa watu ulitazama kwa kutoamini jinsi mume wangu na mchepuko wake walivyoachiliwa kutoka katika hali yao isiyo ya kawaida. 

Tukio hilo lilikuwa somo gumu kwa mume wangu. Alitambua matokeo ya matendo yake na maumivu yaliyosababishwa katika ndoa yetu. Tangu wakati huo, hajawahi kujaribu kumpenda mwanamke mwingine zaidi yangu. Leo, ndoa yetu ina nguvu zaidi kuliko hapo awali. 

Tunaishi kwa amani na upendo wa mume wangu kwangu umeongezeka zaidi. Pete ya uchawi haikuokoa ndoa yangu tu bali pia ilileta utajiri na furaha katika maisha yetu. 

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba  +255 763 926 750  au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi. 




Post a Comment

0 Comments



MAGAZETI



NAMBA ZA HUDUMA YA USAFIRI WA KUKODI