Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Zainab Katimba amekuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
0 Comments