Ajali imetokea jioni hii saa 11 leo mei 8 /2025 Katika eneo la Kisima cha Bibi Mteremko wa Ipogolo mjini Iringa baada ya gari dogo lililokuwa likijaribu kulipita gari la shule kugonga magari mawili.
Hakuna kifo katika ajali hii zaidi ya majeruhi kadhaa na barabara imefungwa kutokana na msongamano wa magari .
TAZAMA VIDEO CHANEL YA MATUKIO DAIMA TV
0 Comments